tag:blogger.com,1999:blog-8736225108004045651.post1391116314725529454..comments2023-03-23T02:37:44.376-07:00Comments on IMHO: UBABE WA WALIO WENGI NA KATIBA YETUAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/12930051910239531710noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8736225108004045651.post-7582551979769268222014-02-28T09:52:33.296-08:002014-02-28T09:52:33.296-08:00Ndugu yangu Paul Francis Mongi, habari yako!
Nime...Ndugu yangu Paul Francis Mongi, habari yako!

Nimetumia neno "pessimistic" sio kuonyesha dada Maria hajui anachosema. Anajua vizuri tu, tene hiyo ndi sababu anatuwakilisha kwenye bunge la Katiba.

Nimetumia neno hili "pessimistic kwa sababu ukiangalia mtiririko mzima wa hoja yake unajegwa na kumbukumbu ya historia mbaya ya ukiukwaji wa haki za "minority".

Nashukuru kunikumbusha kuhusu John Adams. Nawewe pia ni vema ukasoma kitu kinachoitwa "Sociological Imagination by C Wright Mills 1959". Nadhani hapa utapata uelewa wa kujua point yangu imeegemea wapi.

Narudia tena zipo sababu muhimu sana za kufanya mchakato wa upigaji kura ndani ya Bunge la Katiba uwe wa wazi. Sababu zenyewe hizi hapa.

1.Hakuna sababu ya msingi ya usiri; kinachojadiliwa kinajulikana hoja ni kukubali au kukataa kilichojadiliwa au kinachopendekezwa. Kwanini iwe siri kukataa ibara au kifungu kibaya au kukikubali?

2. Asilimia zaidi ya themanini walioko kwenye Bunge la Katiba ni wabunge au wawakilishi; wengi wa hawa bila ya shaka watataka kugombea tena 2015. Sasa kwanini wananchi wasipate nafasi ya kujua wanasimamia wapi katika mambo ya msingi ya taifa. Hii ni nafasi ya pekee kwa Watanzania kujua viongozi wao wanasimaia wapi. Hata wale ambao si wabunge sasa wengine wanaweza kutaka kugombea; iwe wazi wajulikane mitazamo yao kisiasa na hakuna kipimo cha dhamira kama kupiga kura ya wazi. Kama wanaamini wanachokiamua hawana sababu ya kuwaficha wapiga kura.

3. Rasimu ya Katiba kutoka Tume ya Kina Warioba (Warrioba Commission) ina mambo mengi mno; ina mambo mengine hata hayaingii kichwani sijui walikuwa wanataka kufanya nini. Binafsi naamini kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwa sehemu ya Katiba yanatakiwa yawe kwenye sheria. Bahati mbaya rasimu hii – kwa makosa makubwa – imejaribu kuwa sheria na kujaribu kujaza kila kinachofikirika humo humo ndani. Mifano yake ipo mingi. Katiba inatakiwa kuweka kanuni za msingi, na kuacha Bunge kutunga sheria au vyombo vingine kutengeneza taratibu za kutii matakwa ya Kikatiba. Hivyo, ni muhimu wabunge wa Bunge la Katiba waonekane wazi wanasimamia wapi kwenye haya mambo mengi ambayo yote yatatusaidia siyo tu kujua misimamo ya watu lakini kuweza kuwahoji huko mbeleni. Albanationhttps://www.blogger.com/profile/06954404415449104333noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8736225108004045651.post-67887593748536947272014-02-28T09:40:33.849-08:002014-02-28T09:40:33.849-08:00This comment has been removed by the author.Albanationhttps://www.blogger.com/profile/06954404415449104333noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8736225108004045651.post-77811327229106404522014-02-28T08:33:33.137-08:002014-02-28T08:33:33.137-08:00Albanation
Laiti ungesoma vizuri hoja ya dada Mar...Albanation

Laiti ungesoma vizuri hoja ya dada Maria ungemwelewa anachosema.

Maria ni mtu very OPTIMISTIC! Dhana ya "majority rule" ni dhana ambayo kama akina John Adams walivyosema, karne nyingi zilizopita, ni kwamba si lazima hoja za "wengi wape" ziwe na manufaa kwa taifa.

Mara ngapi tumesikia watu wakifukuzwa kazi au kutendewa kinyume na haki KWA KUWA TU walipigia kura chama fulani dhidi ya chama tawala, au hata walihisiwa kufanya hivyo? Unadhani huo UWAZI unaoutaka wewe utakuwa na maslahi gani kwa taifa iwapo hao watakaojulikana kupiga kura KINYUME na utashi wa hiyo "majority" watakapobainika?

Kila siku KURA HUWA NI SIRI ya mpiga kura. Bunge ambalo umelizoea la NDIYOOOOO au SIYOOOO si Bunge la Kidemokrasia, ni la KIDOMOKRASIA. Ndio maana Wamarekani waliachana na mfumo huo wa Kiingereza na kuweka mfumo ambao inaonekana ni WATU WANGAPI (sio WATU GANI) wamepigia kura hoja iliyopo mezani. Mfumo wa Marekani ni wa WAAZI ZAIDI kwani inaonekana ni WATU WANGAPI wamepiga kura, wangapi wamepiga kura ya NDIYO, wangapi wamepiga ya HAPANA, na wangapi HAWAKUPIGA.

Unapotaka kumjua ni NANI aliyepiga kura, unaonesha nia yako ya kutaka kumdhuru KWA KUWA TU hakukubaliana na hoja yako. Hapo unaenda kinyume na misingi ya demokrasia. Wapiga kura lazima walindwe na madhara ambayo watayapata kwa kuwa na msimamo tofauti, hapa tunazungumzia uhuru wa kikatiba, wa kuwa na maoni tofauti, uchaguzi tofauti, maamuzi tofauti, n.k.

Suala kusema kwamba ijulikane ni watu gani waliopigia kura hoja fulani, wakasema NDIYO au HAPANA, ni kinyume sana na demokrasia, HASWA KWENYE BUNGE LA KATIBA!

Usiturudishe nyuma kwenye zama za UJIMA wa kidhalimu ambapo suala la ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI zilitawala, jambo ambalo hata Mwalimu alilishtukia na kuliondoa, akitambia kwamba ulikuwa udikteta na si demokrasia.

LABDA UNAPENDA AMRI ZITOLEWE KILA UCHAO kwamba watu warukeruke kichura kila asubuhi, hata kama kufanya hivyo ni hatari kwa maisha yao, kwa kuwa tu MKULU amesema, na walio wengi - wenye maslahi naye - wanakubaliana naye, na wale wachache hawapendi kurushwa kichura kwa kuwa afya zao na mambo mengine hayawaruhusu kufanya hivyo?

Kaka, hebu rudi darasani kwanza, ukajifunze nini maana ya dhana nzima ya demokrasia.

Maria, watu kama hawa WASIKUCHOSHE! Msimamo ndio huo! Tuachane na demokrasia - DOMOKRASIA! - ya wababe walio wengi!

ALAMSIKI!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00923744838872693471noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8736225108004045651.post-15023786750569245992014-02-28T00:48:32.000-08:002014-02-28T00:48:32.000-08:00Dear Maria.
You have expressed your thoughts well...Dear Maria.

You have expressed your thoughts well. I do respect them.

But i have a question for you. Why are you pessimistic? What makes you to think someone will infringe the rights of the other who have different opinion than him or her?

And yes i have read the article and i appreciate your concerns. But when you think carefully about them you find that your "ideas" are influenced by one thing "you think pessimistic and not optimistic". You have developed the so called "self fulfilling prophecy". Your conclusion "kura za siri ndio suluhisho" is opposing democracy itself.

Hilo ni bunge la Katiba, kila kitu kiwe wazi. Watanzania tupo nyuma yenu. Tunataka tusikie kwa uwazi kabisa "nani katoa maoni gani, kapiga kura kuchagua nini na hiyo kura yake imetoa maamuzi ku-support upande upi.

Daniel.

Albanationhttps://www.blogger.com/profile/06954404415449104333noreply@blogger.com